Burudani

Video: Nikki wa Pili acha awe Rais tu, amebadili maisha yangu – Mbunifu Elly Fire

Mbunifu wa mavazi, Elly Fire amefunguka kumzungumzia rapa Nikki wa Pili kutoka kundi la Wausi kwamba ni moja kati ya wasanii ambao walimlipa pesa nyingi bila kutarajia kutokana na kazi ya ubunifu aliyomfanyia kupitia video yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents