DStv Inogilee!

Video: Nikki wa Pili ft Jux – Kanifuata

Video: Nikki wa Pili ft Jux - Kanifuata

Msanii wa muziki wa kizazi kipya na anayetoka katika kundi la Weusi, Nikki wa pili ameachia video ya wimbo wake mpya unaojulikana kama ‘Kanifuata’ akimshirikisha msanii mwingine wa Bongo Fleva Juma “Jux”
Producer wa ngoma hii ni Buga lee na Director ni Joowzey

By Ally Juma

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW