Aisee DSTV!
SwahiliFix

Video: Nimakosa kwenye nchi ya demokrasia kufanya watu wasiongee – Nay wa Mitego

Msanii wa Muziki wa Hip Hop, Nay wa Mitego amedai sio kweli kwamba kuna baadhi ya watu wanazibwa mdomo wasiongee yale mabaya ambayo yanadaiwa yamekuwa yakijitokeza katika serikali ya Rais John Pombe Magufuli.

Rapa huyo amedai katika muziki wake hajawahi kufuatwa na mtu yeyote akaambiwa asifanye anachofanya.

Toka rapa huyo apate misukosuko na wimbo wake wa ‘Wapo’ hajaachia tena wimbo wa namna hiyo hali ambayo imekuwa ikitafsiriwa na wadau kwamba ameingiwa na woga.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW