Aisee DSTV!

Video: Nimeletwa na Mungu kwaajili ya kufanya vitu kwenye soko la filamu Tanzania – Duma

Msanii wa filamu Daudi Michael Tairo, anayefahamika zaidi kwa jina la Duma ndani ya tamthilia ya Siri ya Mtungi ameelezea kuwa ujio wa filamu yake mpya ya Nipe Changu imekuja kuleta mapinduzi makubwa kwenye tasnia hiyo nchini.

Related Articles

15 Comments

  1. Movie yenyewe hata haiyeleweki..!! Yan scene moja inaisha juu juu haina hata mrejesho baadae ilikuwaje. Na location zenyewe hata hazivutii.!! Alifanya vizuri kwenye hyo movie ni MBOTO Na shamsaford kwa mbaali..muhusika shots zake zote zina utata..!! Jina l movie nipe *nipe changu* haiyendani na story…story haina msisimko ya kumfanya mtu kuitazama..!! Yan kwa ufupi Duma amezengua..! Mbona Tamthilia ya kule Mombasa alifanya vizur? Ya kwake hata sio poa…!! Nahisi hayupo vizuri kwenye utunzi wa story lakini acting anajitahidi japokuwa kuna mahali anafanya acting hadi sisi watazamaji tunaona kama anaigiza wakati inatakiwa sisi tuwe na feeling kuwa ni reality.. Katika movie hyo scene ya mwisho ndio kafanya vizuri, alipokuwa ameweuka kwa kumdhurumu mpemb..!! Sehemu nyingine bado saaana..nahisi story haikuwa nzuri..!

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW