Burudani

Video: Ninachokifanya ni tofauti na wasanii wa Bongo – Miss KK

Msanii wa Muziki Bongo, Miss KK amedai anachokifanya ni tofauti na wasanii wengine ingawa kuna baadhi ya watu wamekuwa hawamuelewi.

Miss KK ambaye alikuwa akiishi nchini Afrika Kusini amesema sababu ya kurudi Tanzania ni kuja kutangaza muziki wake.

“Miziki yangu is international na sababu ya mimi kurudi nyumbani ni kwa sababu nataka Watanzania wenzangu wanikubali, ninachokifanya ni tofauti na wasanii wa Bongo” Miss KK ameiambia Bongo5.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents