Michezo

Video: Nje ya uwanja tu Alikiba amekula 8, Samatta atapiga la 9 – Joti

Msemaji wa timu ya Mbwana Samatta, Joti amefunguka kuzungumzia ubora wa timu ya mkali huyo wa klabu ya Genk yakiwa ni maandalizi ya mchezo wao wa hisani dhidi ya timu ya muimbaji Alikiba katika mchezo wa hisani ambao utachezwa kesho Uwanja wa Taifa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents