Burudani

Video: Obama ampa Kanye West dondoo muhimu za kumsaidia kwenye uamuzi wake wa kuwania Urais wa Marekani

Barack Obama ameamua kumpa Kanye West dondoo muhimu anazopaswa kuzizingatia katika uamuzi wake wa kuwania urais wa Marekani.

page

“Nina ushauri kwake,” Obama alisema kwenye hafla ya uchangishaji fedha uliohudhuriwa pia na rapper huyo ambaye alitangaza kuwania urais wa nchi hiyo mwaka 2020.

https://www.youtube.com/watch?v=0qc8bP-nqfw

“First of all, you’ve got to spend a lot of time dealing with some strange characters who behave like they’re on a reality TV show,” alisema Obama. “So you’ve just to be cool with that.”

Dondoo ya pili ilihusiana na album ya tano ya Kanye.

“Saying that you have a ‘Beautiful Dark Twisted Fantasy’ — that’s what’s known as ‘off-message’ in politics,” alisema. “You can’t say something like that. There are a lot of people who have lost their congressional seats saying things like that.”

Dondoo ya 3, “Do you really think that this country is going to elect a black guy from the South Side of Chicago with a funny name to be president of the United States?” alihoji Obama. “That is crazy. That’s cray!”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents