Burudani

video: Offset ajichora tattoo ya Cardi B

Rapa Offset wa kikundi kinachojulikana kama MIGOS ameamua kuonyesha uaminifu wake kwa mchumba wake Cardi B kwa kuposti Video huku akionyesha tattoo yake mpya aliyo andika “Cardi B” kwenye maeneo ya shingo yake aliyoiweka kwenye kurasa yake ya Instagram

Mkono wenye kucha ndefu umeonekana katika video hiyo ukisogeza nywele za kichwani za Offset ili tattoo hiyo ionekane.

Sio jina la Cardi B tu lililo onekana katika shingo ya rapa huyo pia kuna sura ya katuni anaye fahamika kama Buttercup. Kama wewe ni mshabiki wa Cardi B unaweza kukumbuka kwamba msani huyo alipata mkufu wa Buttercup ulioboreshwa mwaka jana

Na Raheem Rajuu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents