Habari

Video: Perfect Crispin (Club 10) akielezea website aliyoanzisha kwaajili ya wanafunzi

Mtangazaji wa kipindi cha Club 10 cha Clouds FM, Perfect Crispin ameanzisha website yake kwaajili ya wanafunzi, www.perfecttz.com. Website hiyo itakuwa na habari mbalimbali kuhusu wanafunzi na mambo mengi yanayowahusu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents