Videos
Video: Pink ft Chemical – Achana na Mimi
Msanii wa muziki Bongo, Pink ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Achana na Mimi’ ambayo amemshirikisha Chemical, video imeongozwa na Lucca Swahili. Itazame hapa.