Videos
Video: Pissa RnB – Kisirani
Msanii Pissa RnB ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Kisirani’. Wimbo umetayarishwa na maprodyuza wawili Tin Number na Lizer Classic, wakati huo huo video imeongozwa na director OneEcha.
https://youtu.be/KW5eUNdkpCg