Burudani

Video: Pornstars wamuunga Lil Wayne jukwaani katika tuzo za AVN

Ilikuwa ni ule usiku wa tuzo za Grammy zilizo fanyika tarehe 28 januari mwaka huu lakini LilWayne alienda kutumbuiza kwenye tuzo za AVN zilizo fanyika jijini Las Vegas Marekani.

Usiku huo rapa huyo kutoka New Orleans ndiye aliyekuwa mtumbuizaji tegemezi na yeye hakuwaangusha. Kuelekea mwisho dakika 20 alizokuwa akitumbuiza Lil Wayne aliimba ngoma iitwayo “Pop That” na aliungwa pornstars 30 na mammbo yakawa moto.

Angalia kilichotendeka hapa chini.

https://www.youtube.com/watch?v=ZPZBMgwCIbo

Na Raheem Rajuu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents