Burudani

Video: Prezzo ni baba mwenye nyumba – Amber Lulu

Msanii wa muziki Bongo, Amber Lulu amesema penzi lake na rapper Prezzo kutoka nchini Kenya bado lipo pale pale wala si kiki kama wengi wanavyodhani.

Muimbaji huyo ameendelea kwa kusema Prezzo kwake ni baba mwenye nyumba, hivyo lolote analofanya ni lazima kupata ruhusa kutoka kwake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents