Habari

Video: Prof. Kabudi kwa hili anajua hayuko sahihi – Mhe. Zitto

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kuwa Waziri wa Katiba na Sheria baada ya Prof. Palamagamba Kabudi baada ya kutolea ufafanuzi wa makubaliano kati ya serikali na kampuni ya Barrick Gold Corporation amesema kuwa Watanzania wamepigwa changa la macho huku akidai kuwa siku ambayo makubaliano hayo yanafanyika ndio siku ambayo Waziri Mkuu alikuwa nchini Canada. Tazama video hii akieleza:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents