BurudaniVideos

Video: Profesa aliyejipatia umaarufu kwa interview ya BBC iliyovurugwa na wanae live aitambulisha familia yake

Prof Robert E Kelly alirejea tena BBC News kuzungumzia umaarufu wake wa muda mfupi pindi wanae walipovuruga mahojiano yake ya live na kituo hicho na video yake kusambaa mtandaoni.

Prof Kelly, mtaalam wa masuala ya Korea Kusini aliungana na mke wake, Jung-a Kim na wanae Marion na James kuelezea zaidi umaarufu wao wa kushtukiza na jinsi ilivyokuwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents