Lady Jay Dee

Video: Promo ya kile kilichompeleka Lady Jaydee Nairobi – Coke Studio Africa

Bila shaka utakuwa mmoja wa watu wanaojiuliza nini kilichompeleka Lady Jaydee jijini Nairobi, Kenya ambako amekutana na wasanii 24 kutoka nchi nane za Afrika. Tazama video hii na jibu utalipata kuhusiana na ukubwa wa project hiyo.

http://www.youtube.com/watch?v=mvouQ98bk6c

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents