Burudani

Video: Q Boy alamba dili la ubalozi, afunguka kuhusu muziki wake na kuporwa Insta yake

Msanii wa muziki, O Boy Msafi amelamba deal la ubalozi wa kutoka kampuni ya kizalendo ya Juice Kingdom iliyopo jijini Dar es salaam. Akiongea na Bongo5 muda mchache baada ya kulamba deal hilo, Q Boy alisema deal hilo ni zuri kwake kwa sababu anapenda kunywa fresh juice ambazo zinaangaliwa katika mazingira mazuri.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents