DStv Inogilee!

Video: Queen Darleen afunguka mazito ‘Watanzania wanapenda sana mapenzi kuliko kula’

Msanii wa muziki nchini, Queen Darleen kutoka WCB amesema kuwa Watanzania wanapenda sana mapenzi kuliko hata kula au kazi ndiyomaana nyimbo zenye maudhui ya mapenzi zinafanya vizuri mno Tanzania. Mwanamziki huyo ameyasema hayo wakati akifanyiwa mahojiano na Bongo5 Media.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW