Burudani

Video: Quick Rock atoa ufafanuzi wa kuipenda ngoma ya Alikiba ‘Seduce me’

Msanii wa muziki Bongo Quick Rock amefunguka juu ya kuipenda na kupokea kwa furaha ngoma mpya ya Alikiba ‘Seduce Me’.

Akipiga stori na Bongo5, mkali huyo wa Tang twist amesema kuwa alisikia ngoma hiyo ya Kiba ni muziki mzuri na alifurahishwa pia alipoona baada ya masaa kadha WCB  nao wakatoa ngoma.

“Nimesikia ni muziki mzuri good vibe good music ikapita masaa kadhaa WCB nao wakaachia ngoma nikasema nice good music nilipenda ni changamoto sometimes game yetu inakuwa imepoa sana it need hiyo hamsha hamsha,” amesema Quick.

Pia akaongeza “Kitu kilichoni suprise in like 38 hours nyimbo ya Alikiba ina like one milions views hiyo ni rekodi ambayo… mtu anaweza kuchukulia nime shoot hile video kutani but i was realy suprise kwamba mziki wetu umefikia huku final.”

Na Salum Kaorata

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents