Burudani

Video: Rais Nkurunziza alivyomkabidhi tuzo ya heshima msanii Natacha

Msanii Natacha kutoka Burundi amefanikiwa kupata tuzo ya heshima kutoka kwa rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza.

Natacha amepatiwa tuzo hiyo Julai 1 ya mwaka huu wakati wa sherehe za miaka 55 ya uhuru wa nchi hiyo. Baada ya kupata tuzo hiyo Natacha kupitia mtandao wa Instagram, ameandika ujumbe wa kufurahishwa kupata tuzo hiyo kutoka kwa rais Nkurunziza.

I’m so happy because I was among the people who received the prize from his Excellency the President of the Republic of Burundi Pierre NKURUNZIZA. For me it’s a honnor to receive such Prize from the President. I will pray that God keeps on giving him the strength and the stamina to lead this beautiful Country. May God bless him and his family ???? I would like to let you know that,this gift is not only for Natacha but it is for all Burundian Artists in particular and all my fans in general ??????

Hii ni video Rais Pierre Nkurunziza akimkabidhi Natacha tuzo hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents