Habari

Video: Rapper Bun B aanzisha blog ya misosi, YouGottaEatThis.com

Rapper wa Houston, Texas, Bun B ameanzisha blog kuhusu masuala ya misosi iitwayo YouGottaEatThis.com.

http://www.youtube.com/watch?v=lSVaZ-q6XHY

Akiongea kwenye video ya kutambulisha blog hiyo, Bun B alisema wasomaji wa blog hiyo wanaweza kuupload picha ya chakula kwenye blog hiyo na kuwa sehemu ya YouGottaEatThis.com.

“Tuligundua kuwa watu wanaweza kuongea tofauti, kutembea tofauti, kuonekana tofauti lakini kila mtu anapenda chakula,” anasema Bun B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents