AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Video: Dkt. Reginald Mengi akabidhiwa rasmi Serengeti Boys

TFF yasema imetazama vitu vingi 

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kupitia msemaji wake, Clifford Ndimbo limemtangaza rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya IPP,  Dkt. Reginald Mengi kuwa mlezi wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW