Burudani

Video: Rayvanny afunguka kuhusu mipango ya kuachia albamu

Baada ya ukimya wa muda mrefu kwa wasanii wabongo kugoma kuachia albamu, hatimaye baadhi yao wameachia na zimeonekana kufanya vizuri, wakiwemo Navy Kenzo, Lady Jaydee, Vanessa Mdee na wengine.

Msanii kutoka lebo ya WCB, Rayvanny amefunguka kuhusu mipango yake ya kufuata nyayo hizo.

https://www.youtube.com/watch?v=o1jOSOhtrTU

Akiongea na kipindi cha Dira ya Dunia cha BBC Swahili na mtangazaji Zuhura Yunus, Rayvanny amesema tayari ana albamu ambayo amewashirikisha wasanii kibao wa Afrika.

“Kuna albamu ambayo nipo nayo itakuwa inahusisha wasanii wa Afrika, karibia wote kwa sababu nimeshafanya kolabo nyingi nafikiria suala la albamu,” amesema msanii huyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents