Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Habari

Video: RC Ayoub wa Mjini Magharibi azidi kufufua matumaini katika elimu

By  | 

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi kisiwani Zanzibar, Ayoub Mohamed Mahmoud amezidi kufufua miradi yote ambayo ilianzishwa na wananchi kisha ikatelekezwa kwa zaidi ya miaka kumi bila kuendelezwa hususani katika maeneo ya shule za msingi Wilaya ya Magharibi A na B. lakini kubwa zaidi lililowavutia wananchi wengi ni kumuona kiongozi huyo akijichanganya kwa kufanya kazi pamoja na wananchi wake kama raia wa kawaida.

 

Na Laila Sued na Salum Kaorata 

 

 

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW