Habari
VIDEO: RC Makonda atubu dhambi kwa ajili ya Wana-Dar Es Salaam
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam leo Novemba 4, 2018 ametubu dhambi zake katika Kanisa la Efatha chini ya Nabii Mwingira kwa ajili ya wakazi wa Dar Es Salaam.