Michezo

Video: Refa akiomba Ronaldinho Gaucho asaini kadi yake ya njano kama kumbu kumbu

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya FC Barcelona na timu ya taifa ya Brazil Ronaldinho Gaucho. Amekuwa gumzo baada ya hii story ya refa kumuomba Ronaldinho asaini kadi yake ya njano kama ambavyo wengi huwa wanafanya wanapokutana na mastaa huwa wanaomba kusainiwa vitabu vyao vya kumbukumbu na watu maarufu.

watch-great-moment-as-ref-asks-ronaldinho-to-autograph-yellow-card-on-his-return-to-football

Ronaldinho ambaye alikuwa Ecuador kucheza mchezo wa hisani kwa ajili ya kuchangisha fedha, Baada ya mapumziko refa aliomba apate saini ya Ronaldinho ilibdi afanye hivyo kwa sababu hakuwa na kitabu cha kumbukumbu ikabidi kuomba Ronaldinho asaini kadi yake ya njano.

Angalia video yenyewe hapa

https://youtu.be/7iNaYdt6QEo

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents