Video: Rich Mavoko, Fella, Lavalava wamfuata Diamond Nairobi

Team nzima ya WCB mapema leo imetua katika ardhi ya nchini Kenya katika jiji la Nairobi kushuhudia uzinduzi wa albamu ya ‘A Boy From Tandale’ kutoka kwa Diamond Platnumz. Hiini albamu ya pili kwa msanii huyo tokea alipoingia katika muziki.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW