Burudani

Video: Rick Ross aiita beef yake na 50 Cent ‘Ujinga’

Kiongozi wa Maybach Music Group, Rick Ross ameiweka pembeni beef yake ya muda mrefu na 50 Cent iliyodumu kwa miaka minne.

Akiongea kwenye kipindi cha Power 105.1, The Breakfast Club this wiki hii Ricky Rozay alisema ugomvi wao haukuwa na faida ya maina kwenye maisha yao ya kila siku na amesema ulikuwa ni ujinga.

Beef kati ya 50 Cent na Rick Ross ilianza mwaka 2009 baada ya rappers hao kukutana kwenye tuzo BET Awards na kuanza kudisiana kwenye nyimbo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents