Burudani

Video: Roma apata ulemavu wa kidole, kilivunjwa na waliomteka

Msanii wa muziki wa hip hop, Roma Mkatoliki amefunguka kuzungumzia hali yake ya afya ambapo amesema kidole chake kimoja ambacho kilikuwa kina kazi maalum kwenye muziki wake hakijakaa sawa, ni kile kilichovunjwa na watekaji. Rapa huyo na wenzake watatu walitekwa na watu wasiojulikana miezi miwili iliyopita wakiwa studio ya Tongwe Record iliyopo Masaki jijini Dar es salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents