Soka saa 24!

VIDEO: Romyjones aja kivingine na ‘Good Time Drip’ Country boy,Gigy Money,Queen darleen,S2kizzy ndani

VIDEO: Romyjones aja kivingine na 'Good Time Drip' Country boy,Gigy Money,Queen darleen,S2kizzy ndani

DJ wa msanii wa muziki wa bongo fleva Diamond Pltnumz anayejulikana kwa jina la Romyjones ameachia video ya nyimbo yake ya “Good time Drip” akiwashirikisha wasanii WENGI ambao ni  Abba Process, Queen Darleen, Giggy Money, Country Boy,Sanja Boy pamoja na producer wa Switch rekodi S2kizzy.

Ngoma hiyo imetengenezwa na Producer S2Kizzy kutoka studio za Switch rekodi huku video yake ikifanywa na Director  Lucca wa Swahili Visuals.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW