Moto Hauzimwi

Video: Ronaldo aidhihaki Paris Saint- Germain kabla ya kukutana nayo usiku wa leo

Ikiwa usiku wa leo dunia itashuhudia mchezo mkali na wa aina yake baina ya mabingwa watetezi wa michuano ya klabu bingwa barani Ulaya klabu ya Real Madrid dhidi ya Paris Saint-Germain katika hali iliyotafsiriwa kuwa ni dhihaka kwa mshambuliaji hatari Cristiano Ronaldo kutumia muda wake kucheza michezo mengine badala ya kujiandaa dhidi ya timu hiyo tishio zaidi kwa soka la sasa.

Staa huyo wa Madrid, Ronaldo ni miongoni mwa wachezaji wa takao shuka dimbani katika usiku wa Champions League dhidi ya Paris Saint – Germain mchezo utakao pigwa katika dimba la Bernabeu usiku wa Jumatano hii.

Picha za Ronaldo 

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW