Muziki
Video: Rosa Ree – Nguvu za Kiume
Msanii wa muziki, Rosa Ree Jumapili hii ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Nguvu za Kiume’. Wimbo huo umeandaliwa na Produced By Jacko Beats kufanyiwa mixing na Chizan Brain.