Burudani ya Michezo Live

VIDEO: Rostam Aziz, James Mbatia wakutana uso kwa uso na Rais Magufuli, watoa mitazamo yao juu ya utawala wake

Mfanyabiashara Maarufu nchini Tanzania, Rostam Aziz, wenyeviti wa vyama vya siasa, James Mbatia (NCCR-Mageuzi), John Cheyo (UDP) na Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa, John Shibuda wamemtembelea Rais John Magufuli Leo Jumanne Novemba 13, 2018, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rostam aliwahi kuwa Mbunge wa Igunga kwa tiketi ya CCM, amempongeza Rais Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya katika kuboresha mazingira ya kufanyia biashara.

Viongozi wenginewaliomtembelea Rais Magufuli Ikulu kwa nyakati tofauti tofauti na kufanya naye mazungumzo ni wenyeviti wa vyama vya siasa, James Mbatia (NCCR-Mageuzi), John Cheyo (UDP) na Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya siasa, John Shibuda.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW