Soka saa 24!

Video: Sababu za kuwasumbua wake na wapenzi wa wachezaji wenzake zamponza Humud ‘Gaucho’ ndani ya klabu ya KMC 

Klabu ya KMC imeamua kuachana na mchezaji wake Abdulhalim Humud maarufu kama Gaucho baada ya kuomba kuachwa na timu hiyo kwa makosa ya utovu wa nidhamu.

Kwa mujibu wa klabu ya KMC inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania Bara, Humud ameachwa kutokana na mosa ya utovu wanidhamu ikiwemo kuwacha vifaa vya michezo wakati wa mchezo wao dhidi ya Costal Union pamoja na kuwasumbua wake na wapenzi wa wachezaji wenzake ndani ya klabu hiyo ya KMC na nje.

Makosa hayo ni pamoja na kuacha vifaa vya michezo dar es saalam wakati wa mchezo wetu dhidi ya coast union na makosa mengine ni kuwasumbua mke na mpenzi wa wachezaji wenzake ndani ya KMC na nje.

Tulipata malalamiko ya wachezaji hao na baada ya kupata ushahidi mwalimu alimsimamisha na kabla ya adhabu kuisha Humud akatuma barua ya kuomba kuachwa na timu.

KMC imeachana rasmi na Mchezaji ABDULHALIM HUMUD baada ya kuomba kuachwa na timu kwa makosa ya utovu wa nidhamu.
Makosa hayo ni pamoja na kuacha vifaa vya michezo dar es saalam wakati wa mchezo wetu dhidi ya coast union na makosa mengine ni kuwasumbua mke na mpenzi wa wachezaji wenzake ndani ya KMC na nje.

Tulipata malalamiko ya wachezaji hao na baada ya kupata ushahidi mwalimu alimsimamisha na kabla ya adhabu kuisha Humud akatuma barua ya kuomba kuachwa na timu.

Image result for Abdulhalim Humud kmc

Hata hivyo uongozi unafikiria namna gani wataweza kupata gharama walizotumia katika usajili wake toka tarehe 1/07/2018 kama wataweza kurudishiwa, ikiwemo na matibabu yake,gharama za usafiri na mengineyo.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW