Burudani

VIDEO: RC Makonda aomba nguvu kwa Mungu ya kupambana na Sakata la ushoga Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mhe. Paul Makonda leo Novemba 4, 2018 amemwaga machozi live akiwa katika Kanisa la Efatha jijini Dar Es Salaam akikemea maovu yanayoendelea ndani ya jiji la Dar Es Salaam.

RC Makonda

RC Makonda amesema kuwa anaudhunishwa na maovu yanayoendelea ndani ya jiji la Dar Es Salaam kwani kila kona kumejaa mateja, mashoga na kila aina ya uchafu jambo ambalo linahitaji nguvu kubwa kukemewa na kila mtu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents