Michezo
Video: Samatta amtaja mchezaji anayemkubali ligi kuu England
Nyota wa klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta amesema kuwa anatamani kuona siku moja anacheza England huku kunako ligi hiyo anamkubali zaidi mshambuliaji wa timu ya Tottenham Hotspur, Harry Kane.