DStv Inogilee!

Video: Samatta na Ulimwengu waanza mazoezi ya nguvu kuikabili Uganda ya Emmanuel Okwi

Nyota wa klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji na timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Mbwana Samatta akiwa sanjari na Thomas Ulimwengu anayecheza Al Hilal ya Sudan wameanza mazoezi rasmi na kambi ya timu ya taifa baada ya kuwasili alfajiri ya leo tayari kuivaa Uganda mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu Afcon.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW