Michezo
Video: Samuel Eto’o atua nchini kimya kimya
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Cameroon, Samuel Eto’o tayari amewasili Tanzania.
Eto’o amekuja Tanzania kuzindua mradi wa ujenzi wa uwanja wa 5-A Side utakaojengwa Oysterbay