Burudani

Video: Serikali yaahidi kuirejesha nyumba ya Sanaa iliyodaiwa kuporwa

By  | 

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe amesema kuwa Serikali itairejesha nyumba ya Sanaa iliyodaiwa kuporwa pamoja na maeneo ya Mwenge ambayo hutumiwa na wasanii.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments