Michezo

Video: Serikali yaimarisha ulinzi taifa mechi ya watani wa jadi  ‘CCTV kilakona, huna tiketi usikatize kuanzia uwanja wa uhuru’

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo nchini, Yusuph Singo Omari kwa kushirikiana na afisa habari wa TFF, Clifford Ndimbo amesema kuwa kuelekea mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga ulinzi umeimarishwa maeneo ya uwanja wa Taifa huku kamera za CCTV zikiwa sehemu ya kuhakikisha inarikodi matukio yote yatakayokuwa yakiendelea ili kuepusha vitendo vyote viovu na kuiagiza TFF mchezo huo kuwa wa haki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents