Habari

Video: Serikali yalipiga rungu zito gazeti la MwanaHalisi

Serikali imeesitisha uchapishaji na usambazaji na gazeti la kila wiki la MwanaHalisi kwa kipindi cha miezi 24 kwa kiuka miiko na maadili ya kiuandishi ikiwa ni pamoja na kuandika habari za uongo, za kichochezi na kuhatarisha usalama wa taifa.

Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo, Mkurugenzi na Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt Hassan Abbas ambapo pia ameeleza kwa kina sababu za kulifungia gazeti hilo.


Mkurugenzi na Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt Hassan Abbas akizungumza na waandishi wa habari ambao hawapo pichani

Soma taarifa kamili:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents