Habari

Video: Serikali yatoa utaratibu baada ya kuvunjwa CDA Dodoma

Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.Angelina Mabula amesema mbali na kuvunjwa kwa CDA huduma zote za ardhi zinaendelea chini ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma na watumishi waliokuwa wakifanya kazi sekta hiyo wapo watakao kuwa wataendelea na kazi hiyo.

Naibu Waziri Mabula ameyabainisha hayo, Mjini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Felister Bura,

Baada ya kuvunjwa kwa CDA kuvunjwa, Serikali imeweka utaratibu gani wa dharula wakuhakikisha kwamba wananchi wa Manispaa ya Dodoma wanahudumiwa wakati taratibu zingine zinaendelea?

Video: Tazama Naibu Mabula anatoa majibu ya Serikali

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents