Videos

Video: Shaa akiwashauri wanafunzi wa kike wanaopenda kuwa kama yeye!

Kukutana na watu kama Shaa si kitu rahisi. Kwa shabiki wake anayesoma bado, akikutana naye hiyo huwa ni kama ndoto na huitumia nafasi hiyo kumuuliza maswali machache. Hivi ndivyo ilivyotokea kwa wanafunzi hawa wa shule moja ya Sekondari jijini Dar es Salaam waliokutana na staa huyo ambaye jina lake halisi ni Sara Kaisi kwenye uzinduzi wa kitabu cha Nancy Sumari, Nyota Yako. Tazama video hiyo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents