Habari
Video: Shangwe za CCM kwa RC Mghwira
Mkuu wa Mkoa wa Kilimajaro, Anna Mgwira baada ya kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) akitokea Chama cha ACT Wazalendo acheza kwa furaha huku akishangiliwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu na Mke wa Rais wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete na Mke wa Hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere, Mama Maria Nyerere na wengine wengi. Tazama video hii.