BurudaniHabari

Video: Shika Ndinga yampa jeuri Bwax wa Kisimu Changu Laini Mbili “Nimempoteza Dula Makabila”

Hayo yamejiri Jumamosi hii viwanja vya Mwembe Yanga katika Tamasha la Shika Ndinga 2019 ambapo Habiba Salum mkazi wa Ubungo aliibuka mshindi wa pikipiki pamoja na Bw. Masoud Said. Wawili hao wamepata tiketi ya kushiriki fainali ya Shika Ndinga 2019.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents