Videos

Video: Show za Kili Music Awards zilivyofana

Pongezi nyingi sana kwa Kili Music Awards ambao walinifanikisha Tuzo hizo kwenda vizuri na pongezi nyingi kwa THT walioandaa performance zote za usiku huo.

Hii lilikuwa ni special kwa wana Njenje angalia hapa

Saida Karoli akifanya show

Amini na Rich Mavoko walifanya Show ya Kikwetu kwetu zaidi angalia hapa

Host Zembwela atisha sana kwa vituko vyake

Patricia Hillary, Husseni Jumbe,Zahil Zorro katika Show

Linah na Ben Pol,Peter Mchechu katika Show

Godzilla, Mabeste na Madee walitumbiza hit ya Afande Sele ‘Mtazamo’

Barnaba na Snura katika Show ya Kili Music

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents