Habari

Video: Siku huwaje kwa January Makamba? Tazama jinsi alivyo busy hapa

Hoclay Mganga ni mtengenezaji wa filamu na binamu yake January Makamba, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia. Kwa muda mrefu alikuwa akimuomba binamu yake huyo amfuate siku nzima na camera yake ili kutaka kujua tu siku yake huwaje. Mwanzoni January alikuwa akikataa lakini alikubali simu moja na hivi ndivyo Hoclay alivyoshuhudia nNaibu Waziri huyo kijana akiwa busy asubuhi hadi usiku.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents