Michezo

Video: ”Sio jambo zuri kujisifia kutoa sare ugenini” Dismas Ten

Msemaji wa klabu ya Yanga, Dismas Ten amesema kuwa kutowa sare ugenini haikuwa lengo la timu hiyo na wala sijambo jema kujisifia kutoa sare ugenini.

Ten ameyasema hayo baada ya klabu ya Yanga kutolewa katika michuano ya kombe la klabu bingwa barani Afrika dhidi ya timu ya Township Rollers kwa jumla ya mabao 2 – 1, wakati wakiwa nchini Botswana timu hizo zikiwa zimetoka sare ya bila kufungana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents