Tia Kitu. Pata Vituuz!

Video: Sio kila mtu anaweza kuridhika na unachokifanya – Hassan Mwakinyo

Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya ushindi wa pointi wa pambano lake dhidi ya Mfilipino, Tinampay lilifanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar Es salaam na kuhudhuriwa na maelfu ya watu pamoja na viongozi wa serikali.

Bondia huyo kutoka mkoani Tanga, amedai ingawa ameshinda lakini alikutana na changamoto kubwa kwa kuwa bondia aliyepigana naye alikuwa na uwezo mkubwa.

Hassan alidai ni ngumu sana kuwaridhisha watu wote kwa kuwa wapo Watanzania ambao waliendo kushuhudia pambano hilo huku wakimshabikia Mfilipino.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW