Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Video: Staa wa muziki Uholanzi anamkubali Wizkid, je katika Bongo Flava?

Msanii wa muziki wa reggae na dancehall kutoka nchini Uholanzi, Ziggi Recado amewataja mastaa wawili wa Afrika anaowakubali ambao ni Wizkid na Mr. Eazi.

Katika mahojiano na Bongo5 alipoitembelea Zanzibar hivi karibuni amesema wasanii anaowafahamu kutoka Afrika ni hao tu, hata havyo hakueleza chochote kuhusu Bongo Flava ila amegusia iwapo anaweza kufanya kolabo na msanii wa Bongo.

“Sijui sana wasanii maarufu Afrika lakini nawajua Wizkid, Mr. Eazi nimemsikia mara nyingi pale Amsterdam” amesema.

Licha ya Zanzibar Ziggi Recado ameshatembelea mataifa ya Afrika kama Senegal na Sudan, Mali, Sudani na Cape Verde. Albamu alizotoa ni kama ifuatavyo;

  • In Transit(2008)
  • Same Difference(EP 2010)
  • Ziggi Recado(2011)
  • Liberation(EP 2012)
  • Liberation 2.0(EP 2012)
  • Therapeutic(2014)
  • “Ivan The Terrible” (EP 2016)

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW